Video Mpya !! KAKA JAY WIMBO Unaitwa- "VIVA WATANZANIA",TAZAMA HAPA UTAUPENDA...
Wednesday, June 17, 2015
Msanii Kaka Jay kutoka Kahama mkoani Shinyanga anayetamba na wimbo wake mkali wa Tanzania,ameachia wimbo mwingine unaitwa " Viva Watanzania".
Tazama Video yake hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin