Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wachina Noma Aisee!! WAMEJENGA JENGO LA GHOROFA 57 NDANI YA SIKU 19 TU!! ANGALIA PICHA NA VIDEO

mini-sky-city-china 

Kama unaishi kwenye nyumba yako kabisa labda nianze na hili swali, nyumba yako umeijenga kwa muda gani mpaka imekamilika? Au kama unajenga unatarajia nyumba yako itakamilika kwa muda gani? Kama unahitaji ujenzi wa mjengo wako ukamilike haraka basi unaweza kumpa hilo dili Engineer huyu wa Kichina!!
Zhang Yue amekamilisha kazi ya Ujenzi wa Jengo la Ghorofa lililopewa jina la Mini Sky City  ndani ya China, Jengo hilo lina urefu wa Ghorofa 57 na kazi yote imekamilika kwa muda wa siku 19 tu !!
Sky City
Wachina hawana utani, kazi ilipigwa mchana na usiku… Cheki kipande cha hii video uone bwana Zhang alivyosimamia huo ujenzi wake ulioiweka China kwenye headline nyingine !!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com