WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TANZANIA
Friday, June 12, 2015
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ameingia rasmi katika
kinyang'anyiro cha kuwania urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM), ambapo hii leo amechukua fomu za kuwania urais katika makao makuu
ya chama hicho Mkoani Dodoma. Akiongea mara baada ya kuchukua
fomu za kuwania urais, Mhe. Pinda amesema iwapo atateuliwa kuwania urais
na chama chake atatekeleza Ilani ya CCM, pamoja na mpango wa maendeleo
wa miaka mitano wa kuondoa umasikini wa hali ya chini kabisa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin