Breaking News!! MWANAMUZIKI WA DANSI BONGO,BANZA STONE AFARIKI DUNIA
Friday, July 17, 2015
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone amefari dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza jijini Dar es salaam.
Akiongea na Malunde1 Blog hivi punde,Kaka wa msanii huyo Jabir Ally Masanja amesema kaka yake amefarik dunia majira ya saba mchana leo,Julai 17,2015.
Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.....
R.I.P Banza Stone
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin