Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Duniani Kuna Mambo!! KUTANA NA HOTELI HII YA AINA YAKE IKO JUU YA MLIMA MREFU, KULALA SIKU MOJA TU SHILINGI MILIONI 2



Mwonekano wa nyumba hiyo

Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii..

Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu?



Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi?

Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu.


Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba.



Unahita

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com