Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MBUNGE WA KAHAMA LEMBELI NA BULAYA WASAJILIWA RASMI CHADEMA!! WAKABIDHIWA KADI KWENYE MKUTANO WA HADHARA MWANZA




Mheshimiwa James Lembeli akifurahia jambo kwenye mkutano wa CHADEMA leo.



Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA Freeman Mbowe, amewakabidhi rasmi kadi za uanachama, aliyekuwa Mbunge wa Kahama, Mh. James Daudi Lembeli na aliyekuwa Mbunge wa Kuteuliwa mkoani Mara, Ester Amos Bulaya kwenye Mkutano wa chama hicho  jijini Mwanza.



Kulia ni aliyekuwa mbunge wa Kahama Mjini James Lembeli(CCM) akiwa na Esther Bulaya mbunge wa Viti Maalum (CCM) wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Chadema leo jijini Mwanza walipotambulishwa rasmi kuwa wanachama wapya wa chama hicho...



Esther Bulaya akifurahia jambo na Halima Mdee leo



Wafuasi wa Chadema

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com