MWILI WA MAREHEMU BANZA STONE UTAZIKWA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM
Friday, July 17, 2015
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa kaka wa marehemu Khamis Ramadhani amesema Banza Stone atazikwa kesho jioni jijini Dar es salaam
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin