Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Sasa Ni Rasmi!! "LOWASSA OUT" URAIS CCM, NAPE ATAJA TOP 5...ANGALIA HAPA



Dakika chache zilizopita katibu wa siasa na uenezi CCM Nape Nnauye amezungumza na waandishi wa habari na kutaja majina ya watia nia watano wa urais kupitia CCM waliopitishwa na kamati kuu ya CCM

Top 5 iliyotajwa hivi punde  yaliyopitishwa na kamati kuu ni....
1.Bernard Membe
2.John Magufuli
3.Asha Rose Migiro
4.January Makamba
5.Amina Salum Ali

Kinachosubiriwa sasa ni TATU BORA hatimaye MMOJA BORA ZAIDI ATAKAYEPEPERUSHA BENDERA YA CCM URAIS CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com