Mpenzi msomaji wa mtandao huu wa Malunde1 blog,hususani wewe unayefuatilia kipengele cha Nyimbo za asili,leo nakutambulishia rasmi video ya wimbo mpya ya msanii nguli wa nyimbo za asili kutoka kanda ya ziwa Victoria,ndugu Bhudagala Mwanamalonja,inaitwa Ng'wamba,nyimbo hii inapatikana katika albamu yake mpya mwaka 2015 ya Mhunda.
Tazama video hii kali hapa chini
Social Plugin