ANGALIA HAPA MATOKEO KURA ZA MAONI CCM UBUNGE MAJIMBO YOTE YA SIMIYU
Sunday, August 02, 2015
Andrew Chenge.
Titus Kamani
Luhaga Mpina
Jimbo la Busega:- Titus Mlengeya-Kamani- Kura 10697
Rafael Chegeni- Kura 9661
Jimbo la Bariadi:- Andrew Chenge - Kura 20984
Masanja Kadogosa - Kura 2660
Jimbo la Kisesa:- Luhaga Mpina kapita bila ya kupingwa.
Jimbo la Itilima:- Njalu Silanga Kura 44,486
Simon Ngangani Kura 2759
Jimbo la Meatu:- Salum Mbuzi Kura 13180
Oscar Maduhu Kura 2988
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin