ANGALIA NGOMA YA KISUKUMA KUTOKA KWA MSANII MGOTE,NI MDUNDIKO HASWAA
Sunday, August 02, 2015
Katika blog hii ya Malunde1 blog,huwa tunatoa nafasi kwa nyimbo za asili,leo tumekuletea video ya msanii MGOTE bila shaka wapenzi wa nyimbo,ngoma za Kisukuma maarufu kwa jina la "Mbina" mta enjoy kutazama Video ya msanii huyu..
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin