Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HII HAPA HOTUBA YA FIRST LADY MTARAJIWA REGINA LOWASSA,AMWAGA SIFA KEM KEM ZA LOWASSA KWENYE MKUTANO DAR ES SALAAM


Nimekuwekea hapa Hotuba ya mke wa Mgombea wa urais Tanzania kupitia Ukawa Edward Lowassa aliyoitoa leo katika mkutano na wanawake jijini Dar es salaam,ampa sifa kem kem mme wake na jinsi atakavyowakomboa Watanzania,Lowassa naye azungumza jinsi alivyopata wakati mgumu kumshawishi mke wake kuhamia Ukawa...TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com