LOWASSA NI BALAA SANA!! SHUHUDIA MAAJABU YAKE LEO JIJINI MWANZA,WANANCHI WADEKI LAMI
Sunday, August 16, 2015
Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza leo wakati wa kuomba wadhamini nafasi hiyo ikiwa sehemu ya kukamilisha sheria za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 nchini kote.
Wakazi wa Mwanza
Uchaguzi huo utahusisha nafasi ya udiwani, ubunge na urais kwa vyama mbalimbali ambavyo vinalazimika kuwa wanyenyekevu mbele ya watanzania ili kutoa ridhaa ya kuwatawala baada ya kuwapigia kura katika nafasi hizo.
Social Plugin