Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAGUFULI BALAA SANA!!! HEBU SHUHUDIA HAPA JINSI ALIVYOITEKA KATAVI,MAELFU WAMPOKEA KWA SHANGWE

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.

Waziri Mkuu MizengO Pinda akimtambulisha Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli mbele ya umati wa watu waliofurika jana jioni kwenye uwanja wa Azimio mjini MPanda mkoani Katavi wakati wa muendelezo wa kampeni za chama hicho mkoani humo jana.Chama cha CCM kimezindua kampeni zake jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar na kuhudhuriwa na maelfu ya wanachama na wakereketwa wa chama hicho cha CCM

Wananchi wakishangilia wakati Waziri Mkuu Pinda alipokuwa akimnadi Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi
Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wamefurika leo katika uwanja wa Azimio mjini MPanda wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kupitia chama cha CCM,mkoani Katavi.

Wananchi wa kata ya Katumba wilayani Nsimbo wakiwa wamekusanyika kwa wingi kumsikiliza Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata hiyo, wilayani Nsimbo mkoani Katavi

Waziri Mkuu Pinda akimuelekeza jambo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi wa Mpanda mjini kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.

Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Mmoja wa wananchi akimshangilia Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika kijiji cha Mpandandogo,mkoani Katavi

Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakisubiri kumisikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Sehemu ya umati wa Wananchi wa kata ya Mishamo,wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kata ya Mishamo mapema jana mchana wakati wa mkutano wa kampeni wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni kwenye kata yaMishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Sehemu ya Wananchi wa kata ya Mishamo,wakisubiri kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika kata ya Mishamo,wilayani Mpanda mkoani Katavi.

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pichani kushoto akiwa na baadhi ya wanachama cha CCM,ndani ya wilaya ya jimbo la Nsimbo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokwenda kuwahutubia wananchi hao kwenye kutano wa kampeni mkoani Katavi.

Wafuasi na wanachama cha CCM wakifurahia mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jana jioni katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda mkoani Katavi.

PICHA NA MICHUZI JR-KATAVI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com