Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAGUFULI BALAA SANA!! ANGALIA PICHA MAELFU WAJITOKEZA KATIKA UFUNGUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU ZA CCM



Maelfu ya wananchi wakifuatilia kilichokuwa kinajiri katika uzinduzi wa kampeni za CCM leo jijini Dar es salaam

Wiliam Ngeleja na Ezekiel Maige wajitokeza katika kumunga mkono Magufuli katika ufunguzi wa Kampeni leo jijini Dar es Salaam.



Vijana wakiwa wamebebana ili waweze kuona mbele katika ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.





Furaha imetawala kwenye mioyo ya wanaCCM kama inavyoonekana kwenye taswira yetu hapo katika ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye viwanja vya jangwani leo jijini Dar es Salaam.





Mzee akiwa amevaa Picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Magufuli leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.


Wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo. Picha na Avila Kakingo na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.

ANGALIA HAPA PICHA NYINGI ZAIDI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com