Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MASELE ATISHA SHINYANGA MJINI KURA ZA MAONI,AREJEA KWA USHINDI WA KIHISTORIA,MATOKEO MAJIMBO MENGINE YAKO HAPA




Mheshimiwa Stephen Masele aliyekuwa akitetea kiti cha ubunge katika jimbo la Shinyanga mjini akizungumza muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi katika kura za maoni CCM leo katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga mjini





Mheshimiwa Stephen Masele akifurahia baada ya kutangazwa mshindi.

Haya ndiyo matokeo ya kura za maoni yaliyotangazwa leo na katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Charles Sangura.

Jumla ya kura zilizopigwa-9985

Zilizoharibika- 36

1.Stephen Masele-7900

2.Charles Mlingwa-669

3.Abdallah Seni-391

4.Erasto Kwilasa-232

5.Hassan Fatihu-164

6.Mussa Jonas-116

7.Khatibu Kazungu-69

8.Wile Mzava-65

9.Tara Omary-43
Matokeo ya kura za maoni CCM ambayo siyo rasmi tuliyoyapata kutoka baadhi ya majimbo ni kama ifuatavyo

1.Kishapu- Suleiman Nchambi
2.Solwa- Ahmed Salum
3.Shinyanga Mjini-Stephen Masele
4.Kahama Mjini-Kishimba
5.Antony Mavunde-Dodoma.
6.Msalala- Maige
7. Ngeleja - Sengerema 
8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya. 
9. Masaburi - Ubungo 
10. Patel - Ukonga 
11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi 
12..Antony Mavunde-Dodoma .
13. Lukuvi - Isimani 
14. January - Bumbuli 
15. Muhongo - Musoma vijijini 
16. Ndugai - Kongwa 
17. Chumi - Mafinga 
18. Kigola - Mufindi kusini 
19. Mgimwa - Mufindi kaskazini 
20. Filikunjombe - Ludewa 
21. Mgimwa - Kalenga... 
22. Lusinde - Mtera 
23. Imani Moshi - Kaliua 
24.Mwakasaka -Tabora mjini 
25.Fenala Mkangara -Kibamba 
26.Mapunda-Mbinga mjini 
27. Mama Sitta - Urambo 
28. Kadutu - Ulyankulu 
29. Bashe - Nzega
30. Mwigulu - Iramba 
31. Nape - Mtama 
32. Mwakasaka - Tabora Mjini 
34-Elias Kwandikwa-Ushetu

Hizi ndiyo data tulizopata

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com