Wajumbe waliopiga kura
Kamanda wa vijana mkoa wa Shinyanga Ahmed Salum akiwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro
Sinzo Mgeja akilia kabla ya matokeo kutangazwa
Sinzo Mgeja akikumbatiana na shangazi yake baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi wa Kwanza
Sinzo Mgeja akikumbatiana na Mama yake mzazi
********
Uchaguzi viti maalum kundi la vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Shinyanga leo limefanya uchaguzi huku Sinzo Khamis Mgeja ambaye ni mtoto wa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Khamis Mgeja akiibuka mshindi kwa kupata kura 16 kwenye kinyanganyiro hicho kilichokuwa kikigombewa na watu watano.
Uchaguzi huo umefanyika katika ukumbi wa NSSF yalipo makao makuu ya chama hicho ukihusisha wajumbe 35 waliopaswa kupiga kura
Uchaguzi huo umesimamiwa na kamanda wa vijana mkoa wa Shinyanga Ahmed Salum na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro
Matokeo yaliyotangazwa ni kama ifuatavyo:
1.Sinzo Khamis Mgeja- kura 16
2.Radhia Kalombola- 11
3.Sato Makune-5
4.Beatrice Malugira-3
5.Clara Henry Joseph- 0

Imeandaliwa na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Social Plugin