Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MKAPA: WANAOJIDAI WAO NI CHAMA CHA UKOMBOZI NI "WAPUMBAVU NA MALOFA",VIDEO IKO HAPA AKIFUNGUKA JANGWANI DAR









Rais Mstaafu wa awamu ya tatu mh. Benjamini William Mkapa amesema kuwa wapinzani wanaodai vyama vyao ni vya ukombozi ni Wapumbavu na malofa kwa kuwa watanzania walikwisha kombolewa na chama cha ASP na TANU na kwamba chama pekee cha ukombozi kilichobaki hivi sasa ni CCM pekee.

Mkapa ametoa kauli hiyo leo katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam wakati akimnadi mgombea urais wa CCM, Mh John Pombe Magufuli.

Kumsikiliza Mkapa akiongea, Tazama video hapo chini.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com