NIMEKUSOGEZEA VIDEO RAIS KIKWETE AKICHEZA MUZIKI NA WASANII ZAIDI YA 300 WA TANZANIA,MAGUFULI AKIPIGA NGOMA,NAPE GITAA,WEMA AKIMWAGA DOLA!!!
Saturday, August 08, 2015
Ilikuwa burudani ya aina yake mtu wangu ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam August 06 2015 ambapo Wasanii zaidi ya 300 kutoka Kiwanda cha Bongo Movie na Bongo Fleva TZ walikutana kumuaga Rais Kikwete katika hafla ambayo iliandaliwa na Umoja wa Wasanii hao.
Full video nyingine ni hii hapa mtu wangu, burudani ndani ya burudani, Rais JK na Vanessa Mdee walifungua dance ya nguvu, kwenye stage alikuwepo Dk. John Magufuliakionesha uwezo wake kupiga ngoma safi kabisa, Nape Nnauye nae akashikilia vizuri kabisa gitaa la bass, mambo yakanoga..!!
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin