Nyimbo za Asili Leo!!! ANGALIA VIDEO KALI YA MSANII NYAKABAYA,INAITWA TUBHAZENGERE...WANENGUAJI BALAA,WANAKATA VIUNO KAMA FENI
Friday, August 07, 2015
Mpenzi msomaji wa Malunde1 blog hususani wewe unayependelea nyimbo za asili,leo tumeletea video ya msanii Nyakabaya,wimbo unaitwa Tubhazengere,wimbo umeimbwa kwa lugha ya Kisukuma na Kiswahili...
Ni wimbo mzuri,angalia hapa Chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin