Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Shinyanga Leo!! MCT NA BBC MEDIA ACTION WAANZA KUTOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HABARI ZA UCHAGUZI MKUU TANZANIA,ANGALIA HAPA PICHA



Hapa ni katika Ukumbi wa Vigimark Hotel mjini Shinyanga ambapo waandishi wa habari 25 kutoka mikoa ya Shinyanga,Tabora,Singida,Katavi na Kigoma leo wameanza mafunzo maalumu kuhusu Uandishi wa habari za Uchaguzi yatakayowajengea uwezo wa kuandika habari sahihi zinazohusiana na masuala ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu zitakazowapa wananchi uwezo wa kuwapima wagombea na hatimaye kuchagua viongozi wenye sifa.Mafunzo hayo yatakayodumu kwa muda wa siku 5 yameandaliwa na Baraza la habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na BBC Media Action


Awali Victoria Marco kutoka BBC Media Action akizungumza katika semina hiyo iliyokutanisha waandishi wa habari kutoka mikoa ya Shinyanga,Singida,Katavi,Kigoma na Tabora yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuandika habari sahihi za uchaguzi mkuu nchini Tanzania



Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini ambapoa pamoja na mambo mengine wawezeshaji walisisitiza umuhimu wa waandishi wa habari kuandika habari za ukweli zinazozingatia usawa katika jamii



Wawezeshaji wa mafunzo hayo,kushoto ni ndugu Deo Mfugale,kulia ni ndugu Paulo Mallimbo ambaye ni afisa Programu kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT)



Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri ukumbini


Mwezeshaji wa mafunzo hayo Deo Mfugale akiendelea kutoa elimu kwa waandishi wa habari



Mafunzo yanaendelea


Mwezeshaji wa mafunzo hayo Deo Mfugale akisisitiza jambo ukumbini



Mafunzo yanaendelea



Mwandishi wa habari Juma Kapipi akifuatilia kwa umakini zaidi kilichokuwa kinaendelea ukumbini



Mwandishi wa habari Florentina kutoka CG FM Radio ya Tabora akiwasilisha kazi ya kundi lake ukumbini



Tunafuatilia kinachoendelea ukumbini



Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,ndugu Kadama Malunde akiwasilisha kazi ya kundi lake



Mwandishi wa habari Leonard Manga akiwasilisha kazi ya kundi lake



Tunafuatilia kinachoendelea...



Mwandishi wa habari Richerd Katunka akiwasilisha kazi ya kundi lake



Mkufunzi Paulo Mallimbo ambaye ni afisa Programu kutoka Baraza la Habari Tanzania(MCT) akiwasilisha mada ukumbini



Kulia ni mwandishi wa habari Simon Kabendera akitafakari jambo ukumbini



Mafunzo yanaendelea



Mafunzo yanaendelea



Mafunzo yanaendelea...



Mafunzo yanaendelea



Mafunzo yanaendelea


Victoria Marco kutoka BBC Media Action akisisitiza jambo ukumbini



Mwandishi wa habari Kadama Malunde na Juma Kapipi wakiwa ukumbini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com