Muimbaji Nguli wa nyimbo za Kizalendo nchini Tanzania Joash Timothy Omolo maarufu kwa jina la Kaka Jay ametoa Video mpya kali inaitwa "Amani" ..Msanii huyu mwenye makazi yake wilayani Kahama mkoani Shinyanga amepata Umaarufu mkubwa kutokana na nyimbo zake zenye ujumbe mzito.
Nyimbo zingine anazotamba nazo hivi sasa ni Tanzania,Viva Tanzania,Lowassa na zingine kadha wa kadha ambazo ukizisikiliza utajifunza mengi.
Nimekusogezea hapa video yake mpya unaitwa Amani,amemshirikisha Abby Solo.
Bonyeza Play hapa chini kutazama Video ya wimbo huo
Bonyeza Play hapa chini kutazama Video ya wimbo huo
Social Plugin