Wananchi waliolazwa chini baada ya kuzimia ni ndani ya mkutano ulioahirishwa Tanga uwanja ulikuwa mdogo sana.
SOMA TAARIFA KAMILI HAPA
Kampeni za mgombea urais kupitia ukawa zilizokuwa zifanyike Tanga jana zimeahirishwa kutokana na msongamano mkubwa sana wa watu ambao wamekuwa wakibanana na kukosa hewa na kupelekea watu kupoteza fahamu.
Social Plugin