Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BASATA WATANGAZA RASMI KUUPA KIFUNGO WIMBO WA ROMA "VIVA ROMA VIVA"

Baraza la Sanaa  Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.
 
Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com