Taarifa
zilizotufikia muda huu kwenye chumba chetu cha habari ni kwamba Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India leo jioni alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa
hizo zimesema Waziri Kombani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la
Ulanga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi, mwili wake utawasili
nchini Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu.
SOMA TAARIFA ZAIDI HAPA
Social Plugin