Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMANNE NA KESHO JUMATANO



Mtu wangu wa nguvu kama kawaida ripota wako wa nguvu nasogezea karibu yako kila kitu kinachonifikia, hii ni ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya September 29 na Jumatano ya September 30. Hii ni ratiba ya mechi za pili za kila klabu inayocheza Jumanne na Jumatano.



Hii ni ratiba ya mechi za Jumanne ya September 29


Mechi hizi zote zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki

Hii ni ratiba ya mechi za Jumatano ya September 30


Mechi hizi zote zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com