Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAMBO YAGEUKA BUKOMBE...WATU 507 WAHAMA CHADEMA NA KUJIUNGA CCM

Wimbi la hamahama kwenye vyama vya siasa limeendelea hapa nchini ambapo hii leo katika ukurasa wa face booka wa chama cha mapinduzi CCM nimekutana na picha zikionesha rundo la vijana wa CHADEMA wakikihama chama hicho na kujiunga na CCM

Kilichoandikwa kwenye Ukurasa huo ni hiki hapa chini:-
Mchana huu, kijana Jackson Musa ,Katibu Mwenezi Chadema-Bukombe ameongoza wenzake 507 kuhamia CCM. ‪#‎HapaKaziTu‬


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com