Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MSIKILIZE NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AKIZUNGUMZIA KILICHOMUUA WAZIRI CELINA KOMBANI (AUDIO)

Dakika chache zilizopita baada ya kusambaa taarifa za kifo cha waziri Celina Kombani, naibu Spika Job Ndugai amezungumzia namna walivyopokea msiba huo

Ikumbukwe kifo cha Waziri Kombani kimetokea ghafla huko nchini India alikokua akipatiwa matibabu

Hapa Chini nimekuwekea sauti ya Job Ndugai naibu Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, unaweza kuisikiliza au kuidownload pia
- See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/09/kifo-cha-waziri-celina-kombani-naibu.html#sthash.T7C01BAZ.dpuf

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com