MTIHANI WA DARASA SABA 2015 KUANZA KESHO SEPTEMBA 09,2015 HADI SEPT 10,2015,WANAFUNZI WALIOANDIKISHWA NI ZAIDI YA LAKI 7




Kesho tarehe 9.9.2015  hadi 10.9.2015 wanafunzi wa darasa saba  laki 7,75 elfu na 729 kati yao wavulana ni  laki 3 na 61 na 502 sawa na 46.6% ,wasichana  laki 4 na 14 elfu 227 sawa 53.4% wataanza kufanya mtihani wao wa kuhitimu elimu ya darasa la saba Tanzania.Mtihani huo pia  utahusisha wanafunzi 76 wasioona na  698 wenye uoni hafifu.


ANGALIA VIDEO HAPA CHINI


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post