Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha na Video-BABA MLEMAVU ALIVYOBUNI NJIA NYINGINE KUMBEBA MTOTO WAKE WAKIWA KWENYE MATEMBEZI




Baba na love ya nguvu kwa mtoto wake, akaona hata iweje.. kama akihitaji kuingia town na mtoto wake anakatisha nae fresh kabisa japo ana ulemavu wa miguu !!


Pichaz na video za Brave Manoel akiwa amembeba mtoto wake zimegusa watu wengi mitandaoni, ni upendo tu wa huyu jamaa alionao kwa mtoto wake mdogo akaona japo yeye ni mlemavu lakini bado ana njia mbadala ya kubeba mtoto wake na wakaenjoy kabisa mizunguko yao.


Pichaz nyingine hizi hapa, Esther Souza mwenye umri wa kama mwaka mmoja na nusu hivi, akiwa amebebwa na baba yake Brave Manoel kwenye magongo wakiendelea na matembezi yao ndani ya Brazil.




Ninacho kipande cha video pia, mtu na baba yake kwenye magongo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com