SHUHUDIA PICHA BALAA LA MAGUFULI KATIKA MJI WA TANGA,,SHUGHULI ZASIMAMA KWA MASAA MAWILI



Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya Tanga, kujenga Viwanda vya matunda na samaki ili kuweza kupunguza tatizo kubwa la ajira.



Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tanga ambapo aliwaambia kuwa wakati wake wanafunzi hawatolipa ada ya masomo mpaka kidato cha nne.



Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia











Sehemu ya Umati wa wakazi wa Tanga.



Uwanja wa Tangamano ukiwa umefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia



Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni za CCM.



Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano.



















Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Tangamano.



Msanii Ali Kiba akiburudisha kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Tangamano.

Picha zote kwa hisani ya Kamerayangu blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post