ULIIONA VIDEO YA DKT MAGUFULI AKIPIGA PUSH-UP KUONESHA YUKO VIZURI HUKO KAGERA....IKO HAPA ANGALIA
Tuesday, September 22, 2015
Katika hali ambayo si ya kutarajia Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi aliamua kupiga "PUSH-UP" Kabla ya kumwaga sera kwa wananchi wa Misenyi-Kagera. Pichani ni Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine. Tazama video ya Dr. Maguli hapo chini Akipiga Push-Up
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin