Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WEKA PEMBENI MAFURIKO YA LOWASSA!! MAGUFULI AFUNIKA VIBAYA LEO HUKO BUKOBA MJINI,SHUHUDIA HAPA AKIWA NA WASANII WAKE....




Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba tayari kuhutubia wakazi wa Manispaa ya Bukoba.Picha zote kwa hisani ya Kamera yangu blog na Matukiokatikapicha blog



Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .



Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya mji wa Bukoba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha bei ya Kahawa inapanda, ujenzi wa viwanda mbali mbali katika kukuza uchumi na ajira.



Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Bukoba mjini.



Wakazi wa Bukoba mjini wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.



Huo ndio umati ukimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli



Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba mjini Ndugu Hamis Kagasheki akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambazo mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.




Msanii Bushoke akitumbuiza wakazi wa manispaa ya Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.



Yamoto Band wakishambulia Jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.



Fid Q akishambulia jukwaa na nyimbo za hiphop wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Bukoba mjini.



Diamond Platnumz akishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini.



Halima Bulembo Mbunge mteule kupitia vijana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni kulia kwake ni mbunge mteule anayewakilisha wazazi kutoka mkoa wa Bukoba Oliva Semguruka.



Mr.Blue akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.



Wanaume TMK wakishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini.

Endelea kuangalia Matukio katika picha hapa chini

SAFARA WA MAGUFULI WAINGIA KAGERA



























































Picha zote kwa hisani ya Kamera yangu blog na Matukiokatikapicha blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com