Jumapili Septemba 27,2015,mgombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini wa Chadema kupitia Ukawa Patrobas Katambi maarufu kwa jina la Mzimu wa Shelembi ameendelea na kampeni zake na leo ilikuwa zamu ya Kata ya Ndembezi.Mkutano wa hadhara umefanyika katika eneo la Shule ya Msingi Ndembezi na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo.Mkutano huo umehudhuriwa pia na mjumbe wa Baraza kuu Chadema Taifa Joseph Kasambala-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga
Meza kuu wakifuatilia kilichokuwa kinajiri eneo la mkutano
Awali Mjumbe wa Baraza kuu Chadema Taifa Joseph Kasambala akiwahutubia wakazi wa Ndembezi katika manispaa ya Shinyanga ambapo aliwaomba wananchi kuwapa kura wagombea wa Ukawa na kutorudia makosa ya kuchagua viongozi wa CCM ambao wameshindwa kutatua kero za wananchi
Wananchi wakifuatilia mkutano
Mjumbe wa Baraza kuu Chadema Taifa Joseph Kasambala alisema Mwaka huu mpaka kieleweke katika jimbo la Shinyanga mjini kwani wamejipanga vyema kuchukua jimbo hilo na hawatakubali uchakachuaji wowote katika uchaguzi ujao
Mkazi wa Ndembezi akifurahia jambo na mwanaye kwenye mkutano huo
Mgombea ubunge wa Chadema/Ukawa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akiwahutubia wakazi wa Shinyanga ambapo alisema CCM imeshindwa kusimamia ilani yake hivyo kinachotakiwa ni mabadiliko tu ili kuwakomboa watanzania
Mwananchi akifuatilia mkutano
Wananchi wakiwa eneo la mkutano
Mkutano unaendelea
Tunafuatilia mkutano wa Katambi
Wananchi wakifuatilia kilichokuwa kinajiri eneo la mkutano
Mgombea ubunge wa Chadema/Ukawa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akitoa sera zake na kuomba kura kwa wananchi
Mkutano unaendelea
Wananchi wakifuatilia mkutano huo
Mgombea ubunge wa Chadema/Ukawa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi maarufu Mzimu wa Shelembi akichambua baadhi ya vipengele katika ilani ya CCM
Akina mama wakiwa wamekaa chini wakimsikiliza mgombea ubunge wa Chadema Patrobas Katambi
Mkutano unaendelea
Wananchi wakifuatilia kilichokuwa kinajiri
Bibi akiwa na mjukuu wake akifuatilia hotuba ya Katambi
Babu akaamua kukaa juu ya baiskeli yake ...anafuatilia mkutano
Mgombea ubunge wa Chadema/Ukawa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akimtambulisha mgombea udiwani wa Ukawa katika kata ya Ndembezi Rojas Robinson na kumwombea kura kwa wananchi
Wananchi wakifuatilia kilichokuwa kinaendelea
Makada wa Chadema/Ukawa wakiwa eneo la mkutano wakionesha mbwembwe zao
Wananchi wakinyoosha mikono baada ya kuulizwa kama watamchagua Katambi na wagombea wengine wa Ukawa
Mkutano unaendelea
Mabadilikooo!!! Lowassaaaa!!! wananchi wanachanganya mikono
Mkutano unaendelea
Mkazi wa Ndembezi akifuatilia mkutano
Wananchi wakifurahia jambo baada ya mkutano
Wananchi wakiondoka eneo la mkutano
Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog Shinyanga
Social Plugin