Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Maajabu!! HILI SIYO BASI..BALI NI NYUMBA YA MTU..ANGALIA PICHA NA VIDEO..PESA YAKO NDIYO INAAMUA UISHI WAPI....



Maisha popote… inavutia kuona ubunifu na Teknolojia vinatuletea vitu vipyavipya Duniani… Pesa yako ndio inaamua wapi uishi, wapo wenye nazo ambao watavutiwa kuwa na maisha yao ndani ya hii gari ya kifahari !!





Ukiliangalia kwa nje ni basi la kawaida tu kama ambayo tumeona wasanii wengi wa Marekani wanayatumia kwenye safari zao.. lakini hili sio tour bus, hili ni Mjengo ambao ndani yake kuna mahitaji muhimu yote ambayo yanatakiwa yawepo kwenye nyumba ya kuishi, kwa maana nyingine hii ni nyumba inayotembea.

Unaweza kucheki nje mpaka ndani jinsi kulivyo kwenye hizi pichaz za Basi la American Eagle RV.


Hili Basi likipaki, unaweza kulifanya liwe na muonekano huu ili kuongezea ukubwa wa ndani, maisha yanaendelea.




Hapo ni ndani ya chumba cha kulala, ni humo humo ndani ya Basi.


Muonekano wa sebule ndio huu !!


Hizi ni mashine za kufulia nguo.. zimo humo humo ndani ya basi.



Gharama ya kulipata hili Basi ni Dola 219,450 ambazo zinagusa mpaka Tshs. Milioni 473.

Nimekipata na kipande vya Video, nje mpaka ndani ya Basi hiki hapa..

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com