MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN NAYE AMESHAPIGA KURA


Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja,leo majira ya saa moja asubuhi

Shein amewaambia waandishi wa habari kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa ya kushinda


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post