PICHA DKT MAGUFULI AKIPIGA KURA HUKO CHATO..ALICHOKISEMA BAADA YA KUPIGA KURA


Mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli amepiga kura asubuhi hii huko Chato mkoani Geita.


Baada ya zoezi la kupiga kura, Dr Magufuli aliulizwa na waandishi wa habari iwapo atakubaliana na matokeo kama itatokea akashindwa.


Katika majibu yake, Magufuli amejibu kwa kifupi kuwa Tusubiri matokeo yatangazwe.


Aidha, Dr. Magufuli aliulizwa jinsi alivyojipanga kama itatokea akashinda ambapo pia alijibu kwa kifupi kuwa tusubiri tutajionea mara baada ya kuapishwa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post