Mgombea wa nafasi ya urais kwa kitiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowassa ameingia mjini Monduli kwa kishindo na kupokelewa na maelfu wa wakazi wa jimbo hilo huku shughuli zikisimama kwa muda
Miaka 20 iliyopita ilikuwa ni ngome imara ya CCM lakini hii ni Monduli mpyaa kabisa.
Mgombea huyo wa nafasi ya urais Edward Lowassa akiwa mjini Monduli amewaahidi kuhakikisha anakuwa mstari wambele katika kutetea na kuimarisha maendeleo ya wanamonduli na watanzania kwa ujumla.
Awali akihutubia mikutano ya hadhara wilayani Monduli katika maeneo ya Ingaruka, Loksari, Makuyuni na Monduli mjini amesema bado ni dhamira yake kuona watanzania wananufaika na rasilimali amabzo zimewazunguka.

Social Plugin