Breaking News!! CHADEMA NA FAMILIA YA ALPHONCE MAWAZO WASHINDA KESI!! MAHAKAMA YARUHUSU KUZIKA
الخميس, نوفمبر 26, 2015
Hatimaye Mahakama kuu jijini Mwanza imetoa hukumu ambapo CHADEMA na familia ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Alphonce Mawazo wameshinda kesi hivyo wameruhusiwa kuendelea na taratibu za kuaga mwili wa marehemu na kuzika, pia Polisi watoe ulinzi kama ilivyo wajibu wao kwa kuzingatia mipaka ya kazi yao.
Mahakama kuu jijini Mwanza imewaruhusu Chadema na wafiwa kuzika mwili wa mpendwa wao huyo ila wafuate tu utaratibu.
Social Plugin