Leo Waziri mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya kushtukiza bandarini na kuwasimamisha kazi maofisa watano kutoka katika vitengo mbalimbali kutokana na upotevu wa makontena 349 ambayo thamani ya kiasi cha shilingi 80 bilioni.
Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA Rished Bade
Baada ya Waziri mkuu kufanya maamuzi hayo Leo rais Dk Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna wa Mamlaka ya TRA, Rished Bade na kumteua Bwana Philip Mpango kukaimu nafasi hiyo kufuatia upotevu huo.
Taarifa nyingine kutoka Ikulu hii hapa.
Social Plugin