Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo.
Marais Wastaafu, kutoka kushoto ni Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar,Amani Karume.
Rais wa Zanzibar akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Iddi.
Video Ya Hotuba Nzima Ya Rais Magufuli Aliyoitoa Jana Bungeni
Social Plugin