RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI



Kufuatia ziara ya rais Dr Magufuli hospitali ya taifa Muhimbili kuibua mambo yasiyoridhisha rais amevunja bodi ya hospitali ya taifa Muhimbili ambayo ilishamaliza muda wake na kumteua Prof. Lawrence Mseru kukaimu nafasi ya ukurugenzi mkuu wa hospitali hiyo kuchukua nafasi ya Dr. Hussein Kidanto ambaye amerejeshwa wizarani. 
 
Taarifa ya katibu mkuu kiongozi Bw. Ombeni Sefue imesema rais ametoa muda wa wiki mbili kuhakikisha mashine za vipimo za MRI na CT-Scan vinafanya kazi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post