Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Umeipata Hii Kali!! DEREVA AJIMWAGIA PETROLI NA KUJIWASHA MOTO NA KUMNG'ANG'ANIA POLISI ALIYEMKAMATA



 
Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha moto na kumng'ang'ania polisi waungue wote, polisi amefariki na dereva yuko hoi hospitali. Alifanya hivyo baada ya Polisi kumkamata

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com