Mwanamke mmoja mwenye umri wa mika 31 mkazi wa Uingereza mwenye asili ya Kiafrika aitwae Kenya Arozie, amehukumiwa kwenda jela miaka 9 kwa kosa la kuunguza miguu na nyeti za mpenzi wake.
Alozie anadaiwa kutenda kosa hilo tarehe 15 Mei mwaka huu, huku akitumia pasi kutenda kitendo hicho cha kinyama.
Kabla ya kutoa hukumu, Hakimu alisema kuwa mwanadada huyo alimuunguza mwenzi wake wakati ‘wakihondomola’ amri ya sita.
Alozie amepatikana na hatia hiyo jana na amehukumiwa kutumikia adhabu ya kifungo cha mika 9 Jela.
Social Plugin