Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA UONE JINSI LOWASSA ALIVYONASWA AKICHUNGA NG'OMBE PORINI


Aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa mwavuli wa UKAWA ndugu Edward Lowasa akichunga ng'ombe eake huko Handeni mkoani Tanga.

Lowassa yuko mapumzikoni na familia yake katika shamba lake la mifugo lililopo eneo la Mzeri,Handeni mkoani Tanga


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com