Habari tulizozipata kutoka Singida ni kwamba basi la Taqbir leye namba za usajili T 230 BRJ lililokua likitokea jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Geita limepata ajali majira ya saa 2 usiku maeneo ya Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida katika barabara kuu ya Singida-Tabora kuelekea Igunga.
Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.
Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.
Social Plugin