Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

News Alert !! BASI LAGONGANA NA LORI LA MAFUTA SINGIDA WATU WENGI WAFARIKI DUNIA



Basi la Taqbir namba T 230 BRJ likiwa eneo la tukio.


 
Habari tulizozipata kutoka Singida ni kwamba basi la Taqbir leye namba za usajili T 230 BRJ lililokua likitokea jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Geita limepata ajali majira ya saa 2 usiku maeneo ya Shelui Wilaya ya Iramba mkoani Singida katika barabara kuu ya Singida-Tabora kuelekea Igunga.


Shuhuda wetu anasema ajali hiyo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa baada ya kugongana na Lori la mafuta na kuharibika vibaya.

  
Picha za Basi hilo baada ya Ajali.









 
SOMA HABARI KAMILI HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com