Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DAKIKA 8 ZA VIDEO KALI YA WACHEKESHAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA,HAWA JAMAA BALAA SANA,UTACHEKA MPAKA UNENEPE LEO



Vipande vya video za vioja vya hawa jamaa vimekuwa maarufu sana kwa watumiaji wa WhatsApp sikuhizi, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii video ambayo imeungwa vichekesho vyao vingi kwa pamoja.

Unaweza kutumia dakika zako nane kuenjoy na vioja vya jamaa wa Craze Clown toka Nigeria hapa mtu wangu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com