HII HAPA RATIBA YA KUAPISHWA KWA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WALIOTEULIWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Friday, December 11, 2015
Taarifa iliyonifikia kutoka ofisi ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais, Ikulu kuwa Mawaziri na Manaibu Waziri walioteuliwa leo Dec 10, 2015 na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli wataapishwa siku ya Jumamosi Dec 12, 2015 IKULU Dar es Salaam.
Shughuli hizo za uapishwaji zitafanyika kuanzia saa tano asubuhi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin