Rapper Kala Jeremiah ni moja ya mastaa ambao walitokea vizuri sana kupitia mikono ya mashindano ya Bongo Star Search… kajitahidi kuweza kubaki mchezoni kwa muda mrefu sana na kila mdundo anaoachia unakuwa hit kila kona.
Unakumbuka mambo ya ‘Dear GOD‘, ‘Simu ya Mkononi‘ na ‘Nchi ya Ahadi‘… OK, hizo zote ni zake !! Kama umemiss kuisikia sauti ya Kala Jeremiah basi nikufahamishe kwamba jamaa kajipanga na karudi kuvingine, mzigo unaitwa ‘Malkia‘… Imenifikia na unaweza kuicheki hapa.
Social Plugin